Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.
Home »
Burudani
,
Celebrities
,
Habari
,
Picha na Matukio
,
Tanzania
» Neno la P-Funk Majani kwa Lady JayDee Kuhusu Beef na Radio Clouds ni Hili
Neno la P-Funk Majani kwa Lady JayDee Kuhusu Beef na Radio Clouds ni Hili
Written By Khalid on Sunday, May 12, 2013 | 9:56 AM
Lebo:
Burudani,
Celebrities,
Habari,
Picha na Matukio,
Tanzania





