Dj Faster 80 Updates:

Home » , , » PICHA MBAYA: Mtoto wa miaka 9 auawa kwa kupigwa risasi na polisi huko Tarime

PICHA MBAYA: Mtoto wa miaka 9 auawa kwa kupigwa risasi na polisi huko Tarime

Written By Khalid on Sunday, May 12, 2013 | 9:32 AM

Polisi mkoani Tarime wameua mtoto wa miaka 9, Deo Yakob, katika kilichoripotiwa kuwa pilikapilika za kukamata majambazi wanaoiba na kuua watu mpakani mwa Tanzania na Kenya. 

Bado hakuna maelezo zaidi, kuhusu ni kitu kani kilichopelekea mtoto huyo kuuawa katika juhudi za polisi kukamata majambazi hayo. Pia haijafahamika kama polisi hao walifanikiwa kuwakamata majambazi...
Pichani ni wananchi wakiwa na mwili wa mtoto huyo ambaye alikua ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Mturu, mjini Tarime.
Share this article :

Total Visit

Sikiliza Voice of Tabora 89.0Mhz FM: VoT Radio Online. LIVE STREAM:

Winamp, iTunes Windows Media Player Real Player QuickTime
 
Powered by Blogger | © Dj Faster 80 - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii